Zaburi 134
Wito Wa Kumsifu Mungu
Wimbo wa kwenda juu.
1 Msifuni Bwana , ninyi nyote watumishi wa Bwana ,
ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana .
2 Inueni mikono yenu katika pale patakatifu
na kumsifu Bwana .
3 Naye Bwana , Muumba wa mbingu na dunia,