1 Baada ya ukuta kukamilika kujengwa upya na nikaweka milango, mabawabu wa lango, waimbaji, na Walawi waliteuliwa. 2 Nikamweka Hanani ndugu yangu kuwa kiongozi wa Yerusalemu, pamoja na Hanania jemadari wa ngome, kwa kuwa alikuwa mtu mwadilifu na mwenye kumcha Mungu kuliko watu wengine. 3 Nikawaambia, “Malango ya Yerusalemu yasifunguliwe mpaka jua litakapokuwa limepanda. Walinzi wa malango wakiwa bado kwenye zamu, waamuru wafunge milango na waweke makomeo. Pia wateueni wenyeji wa Yerusalemu wawe walinzi, kila mmoja kwenye lindo lake, na wengine karibu na nyumba zao wenyewe.”
4 Mji ulikuwa mkubwa, tena wenye nafasi nyingi, lakini walikuwepo watu wachache ndani yake, nazo nyumba zilikuwa bado ni magofu. 5 Hivyo Mungu wangu akaweka moyoni mwangu kuwakusanya wakuu, maafisa na watu wa kawaida kwa ajili ya kuorodheshwa kulingana na jamaa zao. Nilikuta orodha ya vizazi ya wale waliokuwa wa kwanza kurudi toka utumwani. Haya ndiyo niliyokuta yameandikwa humo:
wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) | 74 |
- Nehemia
- <
- 7
- >
wazao wa Asafu | 148 |
wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai | 138 |
60 Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni | 392 |
62 wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda | 642 |
a Yaani Wanethini (pia 7:60, 73). b Au Tirshatha: jina la heshima aliloitwa mtawala wa Yuda chini ya Ufalme wa Uajemi (pia 7:70). c Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha juu cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. d Darkoni 1,000 za dhahabu ni sawa na uzito wa kilo 8.6. e Darkoni 20,000 za dhahabu ni sawa na kilo 172. f Mane 2,200 za fedha ni sawa na kilo 1,300.