Link to home pageLanguagesLink to all Bible versions on this site
2
Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni
(Nehemia 7:4-73)
1 Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 2 wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):
 
Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 74
  • Ezra
  • <
  • 2
  • >

  • a Yaani Wanethini (pia 2:58, 70).

    b Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. c Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500. d Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.